UWAZE / IMAGINE

Imagine there's no Heaven / Uwaze hakuna peponi
It's easy if you try / Ni rahisi ukijaribu
No hell below us /hakuna jahanum
Above us only sky / Juu yetu mbingu tu
Imagine all the people /Uwaze watu wote
Living for today /wanaishi kwa leo
Imagine there's no countries / Uwaze hakuna nchi
It isn't hard to do /siyo ngumu
Nothing to kill or die for /hakuna kitu kwa kuua au kufa
And no religion too /hakuna dini pia
Imagine all the people / Uwaze watu wote
Living life in peace / wanaishi salama
You may say that I'm a dreamer /unaweza kusema ninaota
But I'm not the only one / lakini wako wingine
I hope someday you'll join us /unaweza kutuunga
And the world will be as one / na ulimwengu itakuwa moja
Imagine no possessions / Uwaze hakuna mali
I wonder if you can /Ninashindwa ukiweza
No need for greed or hunger /hakuna riba na njaa
A brotherhood of man / Umoja wa binadamu
Imagine all the people / Uwaze watu wote
Sharing all the world /wanaugawa ulimwengu
You may say that I'm a dreamer /unaweza kusema ninaota
But I'm not the only one /lakini wako wingine
I hope someday you'll join us /unaweza kutuunga
And the world will live as one /na ulimwengu itakuwa moja.
Imagine (John Lennon)